SOMBETINI NYUMBANI
Member
- Jan 29, 2014
- 9
- 0
Waungwana naomba kuuliza hivi zile application za ACB tulizoomba washaita kwenye interview:A S cry:
kuna mshkaji wangu aliaaply
izo zaki alifanya interview written na leo ameitwa saa nane oral sa
sijui ka ndo izo mnazotaka wadau
Duuh yaan deadline leo wameisha ita watu
Nashangaa hata mimi afu e-mail yao inazingua haziendi.