Walioitenga Israel wanaendelea kudhoofika na wanayoiunga Mkono Israel wanaendelea Kustawi?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Rais Trump: "Historia imetuonyesha kwamba wale walio na uhusiano na Israeli wamestawi, wakati wale ambao wamejitolea rasilimali zao kuangamiza Israeli wamedhoofika"
Your browser is not able to display this video.
 
Kama nchi gani hizo zilizodhoofika na zilizonawiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…