Walioharibu Uchaguzi 2020, Watubu

Aliyeharibu Uchaguzi wa 2020 ni Magufuli na tayari alikwishapata anachostahili. Mungu hakumuacha na amani kwa siku zote 114 kuanzia Oktoba 25, 2020 hadi Machi 17, 2021. Siku zote alikuwa mtu wa kujikuna ngozi, kuishi kwenye mashine ya kupumulia, kutembea na catheter mkononi, kuropoka ovyo na kutukana. Na mwishowe maiti yake ikatembezwa barabarani mikoa 5 huku ikinuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…