VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Wale wanafunzi kwa makumi waliofukuzwa au kusimamishwa masomo katika Chuo Kikuu cha Dodoma( UDOM) wako mbioni kurejeshwa.Taarifa nilizonazo zinaonesha kuwa hali hiyo inafuatia kuonekana kwa 'madudu' juu ya aliyewafukuza wanafunzi hao na kukiukwa kwa taratibu za kuwasimamisha/kuwafukuza.
Nyaraka nilizonazo zinaoonesha kuwa wanafunzi hao wamefukuzwa au kusimamishwa masomo na Wakuu wa Koleji au/na Kamati za Nidhamu za Koleji ambazo kisheria hazina mamlaka za kufanya hivyo. Nyaraka na sheria za Chuo zinaoonesha kuwa aliyepaswa kuwafukuza ni Kamati ya Nidhamu kwa Wanafunzi ya Chuo na si za Koleji.
Taarifa rasmi zinaoonesha kuwa tayari baadhi ya wanafunzi waliosimamishwa au kufukuzwa wameshafungua shauri Mahakama Kuu Dodoma kuiomba Mahakama hiyo kutengua amri batili ya kufukuzwa/kusimamishwa kwao. Wakati huo huo,uongozi wa UDOM umetakiwa kusawazisha mambo hayo nje ya Mahakama kwakuwa chuo kiliteleza kufikia maamuzi hayo. UDOM inapanga kujisahihisha ili kulinda heshima yake...
Wanadai kuwa walikuwa na heshima...Heshima yake ipi? kwani ilishawahi kuwa na heshima?
Heshima yake ipi? kwani ilishawahi kuwa na heshima?
p*b*v wakufikiri udom bado inamiaka michache nafikiri ni 3rd graduation na heshima inajengeka polepole hamna mtoto anazaliwa na meno,ninamshkaj yangu kamaliza mwaka jana hapo saii yupo CRDB anakula bata,zawad machibia kamaliza st john saii yupo BBC anakula shav,ukienda hospital kutibiwa muulize docta kwanza kasoma chuo gan alaf ndo akupe dawa,unatibiwa na watu kutoka vyuo vyote,et na wewe ni grt thinker

Mbona pove linakutoka hivyo mkuu? Ungesoma na kuelewa contents za thread hii ungeelewa wanaotaka kujenga heshimani akina nani. Nani kakuambia waliomaliza Udom hawapati kazi? Kwani waliomaliza udom ndiyo wanaowarudisha wanafunzi waliofukuzwa?
Hapo kwenye red,ni SAUT
ahsante mkuu kwa kunirekebisha
Ni kweliI lyk wasomi coz ni wepec kuelewana!! dats Great Thinkers