Mahemela_Tz
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 178
- 96
Ulifanya ile ya dodoma au ya iringa??Wadau waliopiga interview
Written.....
Oral........
Kote wakafanya vizuli ni Lini Majina yao wataitwa kazini
Anaeelewa hii kitu ashushe maada hapa.
Jamaa walisema baada ya wiki mbili now mwez sasa wabongo aiseeUlifanya ile ya dodoma au ya iringa??
Niachie namba hapa mkuu tuyajengeJamaa walisema baada ya wiki mbili now mwez sasa wabongo aisee
Hio haikua specified ila tulifanyia Dar-kivukoni utumishi houseUlifanya ile ya dodoma au ya iringa??
Nawangoja mkuu
Tanesco kivukoni ndio nini elezea kwa uyakinifu
Poa mkuu asantePitia hapa mkuu ajira.go.tz
Nipe yako mkuu nikutafuteNiachie namba hapa mkuu tuyajenge
Mkuu kama huelewi unapita tu kushoto usipate shida..... Watakao elewa utaona +ve comments zao
0759171356Nipe yako mkuu nikutafute
Shujrani mkuu nilichokipanda nimekivuna kwa shangweTanesco kuitwa kazini View attachment 1253204
Hongera sanaShujrani mkuu nilichokipanda nimekivuna kwa shangwe
Kwani hawakupiga simu au kutuma sms?Shujrani mkuu nilichokipanda nimekivuna kwa shangwe
Nooo ni attachment ti imetokaKwani hawakupiga simu au kutuma sms?