M Mento wa Magogoni Member Joined Nov 13, 2011 Posts 36 Reaction score 10 Mar 10, 2014 #1 Habari wanajamvi? Napenda kufahamu waliofanya Oral Interview pale PCCB, je wameshaitwa kazini?
T Thomas Dimoso Member Joined Feb 16, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Mar 10, 2014 #2 Interview zinaisha tarehe 14 march means ijumaa hii kwa hiyo kuwa na amani tu
T Thomas Dimoso Member Joined Feb 16, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Mar 10, 2014 #3 Interview zinaisha tarehe 14 means ijumaa hii
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,181 Reaction score 88,933 Mar 10, 2014 #4 mjomba uko moto..!! kimemo nini au umefanya mawonder kwenye usaili.
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Mar 10, 2014 #5 Secret Service said: mjomba uko moto..!! kimemo nini au umefanya mawonder kwenye usaili. Click to expand... Mkuu sgnature yako umepeleka wapi?
Secret Service said: mjomba uko moto..!! kimemo nini au umefanya mawonder kwenye usaili. Click to expand... Mkuu sgnature yako umepeleka wapi?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,181 Reaction score 88,933 Mar 10, 2014 #6 Mwanyasi said: Mkuu sgnature yako umepeleka wapi? Click to expand... ipi boss? ipo hii: Telekinesis, Telepathy and Teleportation.
Mwanyasi said: Mkuu sgnature yako umepeleka wapi? Click to expand... ipi boss? ipo hii: Telekinesis, Telepathy and Teleportation.
Tee Rex JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 661 Reaction score 730 Mar 12, 2014 #7 Maswal yote nlichemka daaa miujiza tu
A Abdulbastwa Member Joined Jul 24, 2012 Posts 22 Reaction score 2 Mar 13, 2014 #8 Vp baada ya interview trh 14, watatoa majibu baada ya muda gan? Kwa mwenye kujua 2juze tafadhal maana si wakat wote tunakua online. Tusije kosa kama ilivokua udom
Vp baada ya interview trh 14, watatoa majibu baada ya muda gan? Kwa mwenye kujua 2juze tafadhal maana si wakat wote tunakua online. Tusije kosa kama ilivokua udom
S salumbig5 Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 111 Reaction score 16 Mar 13, 2014 #9 Thomas Dimoso said: Interview zinaisha tarehe 14 march means ijumaa hii kwa hiyo kuwa na amani tu Click to expand... Mkuu acha kudanganya watu kama hujuwi ni bora ukae kimya usaili umeshaisha tangu march 6
Thomas Dimoso said: Interview zinaisha tarehe 14 march means ijumaa hii kwa hiyo kuwa na amani tu Click to expand... Mkuu acha kudanganya watu kama hujuwi ni bora ukae kimya usaili umeshaisha tangu march 6
M maganzo Member Joined Mar 28, 2012 Posts 6 Reaction score 5 Mar 13, 2014 #10 salumbig5 said: Mkuu acha kudanganya watu kama hujuwi ni bora ukae kimya usaili umeshaisha tangu march 6 Click to expand... we ndio unadanganya watu usahili unaisha tar14
salumbig5 said: Mkuu acha kudanganya watu kama hujuwi ni bora ukae kimya usaili umeshaisha tangu march 6 Click to expand... we ndio unadanganya watu usahili unaisha tar14
BILAURI Jr Member Joined Oct 21, 2013 Posts 49 Reaction score 8 Mar 14, 2014 #11 Usaili mwisho leo na walisema wataanza kuita wakimaliza
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 Mar 14, 2014 #12 j3 wanaanza