Mento wa Magogoni
Member
- Nov 13, 2011
- 36
- 10
Habari wanajamvi?
Napenda kufahamu waliofanya Oral Interview pale PCCB, je wameshaitwa kazini?
Napenda kufahamu waliofanya Oral Interview pale PCCB, je wameshaitwa kazini?
mjomba uko moto..!! kimemo nini au umefanya mawonder kwenye usaili.
Mkuu sgnature yako umepeleka wapi?
Interview zinaisha tarehe 14 march means ijumaa hii kwa hiyo kuwa na amani tu
Mkuu acha kudanganya watu kama hujuwi ni bora ukae kimya usaili umeshaisha tangu march 6