Waliofanya interview ya afisa mtendaji kata

nyaucho

Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
40
Reaction score
11
Wakuu mliopiga usaili wa Afisa mtendaji kata, Plse embu fungukeni kuhusu maswali yanayoulizwa / yaliyoulizwa kwenye WRITTEN na kwenye ORAL. Natangulisha shukrani zangu kwa wadau wote watakao tiririka hapa.
 
anza kukumbuka kwanza wimbo wa taifa beti zote mbili bila kukosea
 
Madhara ya kuzoea kudesa haya. huyu anataka desa hadi kazini. Kaazi kweeeli kweli. Mjasiri haachi asili
 
ladba ukasome majukumum ya huyo afisa + na masoma yako pia na maswari ya general nahis hivyo ila sina uhakika
 
Madhara ya kuzoea kudesa haya. huyu anataka desa hadi kazini. Kaazi kweeeli kweli. Mjasiri haachi asili
Mambo mengine ukishindwa kumsaidia mtu mkuu ni bora ukae kimya kama wenzio walio view na kusepa na siyo kuropoka ropoka tu. Nafikiri hujui nini maana ya kujiandaa. Sikushangai sana jomba coz wa2 kama nyie nilijua mtajitokeza tu.
 
Sifa za incompitent candidate(s), daima ni mkali na hataki kuambiwa ukweli. Matusi na lugha za kujilinda kwa saana. Kujiandaa haina maana upewe maswali dogo, unatakiwa usome kila kitu maana hata kazini hatutakuchagulia changamoto za kukutana nazo na wala hatutakupa in advance. Hupati desa hapa....
 
kwa majibu yako tu yanaonyesha ubna kazi ila unawadhihaka watu wasiokua na ajira u must be be luck kutokuwepo katika situation ya inayowakabili vijana sasa
 
Ndugu Nyaucho, Usijali tuko pamoja mimi pia nasubiri majibu ya swali lako. lakini naona watu hawataki kutupia desa. Ila jitakidi kujua conflict resolution methods, at least possible common problems/challanges that you are going to face if employed and how will you overcome them, In most cases qns are senario based there fore get prepared to answer in a wise way (avoid to answer in such a way you will be adding a problem to your wanakijiji). Participatory method of leadership is most incouraged and make sure that when you will be answering any senario based qns, show that you will be involving you wanakijiji in most of the issues.

Hujajibiwa coz hakuna maswali formal kwenye afisa mtendaji interview. Best of luck
 
Wakuu mliopiga usaili wa Afisa mtendaji kata, Plse embu fungukeni kuhusu maswali yanayoulizwa / yaliyoulizwa kwenye WRITTEN na kwenye ORAL. Natangulisha shukrani zangu kwa wadau wote watakao tiririka hapa.
Ndugu Nyaucho, Usijali tuko pamoja mimi pia nasubiri majibu ya swali lako. lakini naona watu hawataki kutupia desa. Ila jitakidi kujua conflict resolution methods, at least possible common problems/challanges that you are going to face if employed and how will you overcome them, In most cases qns are senario based there fore get prepared to answer in a wise way (avoid to answer in such a way you will be adding a problem to your wanakijiji). Participatory method of leadership is most incouraged and make sure that when you will be answering any senario based qns, show that you will be involving you wanakijiji in most of the issues.

Hujajibiwa coz hakuna maswali formal kwenye afisa mtendaji interview. Best of luck
 
Ndugu Nyaucho, Usijali tuko pamoja mimi pia nasubiri majibu ya swali lako. lakini naona watu hawataki kutupia desa. Ila jitakidi kujua conflict resolution methods, at least possible common problems/challanges that you are going to face if employed and how will you overcome them, In most cases qns are senario based there fore get prepared to answer in a wise way (avoid to answer in such a way you will be adding a problem to your wanakijiji). Participatory method of leadership is most incouraged and make sure that when you will be answering any senario based qns, show that you will be involving you wanakijiji in most of the issues.

Hujajibiwa coz hakuna maswali formal kwenye afisa mtendaji interview. Best of luck

Kwanza Peace man kwa kujua ulipoteleza, pili ni kwamba jamaa hapo juu TARUKA na YESER wamenijibu man na nashukuru kwa majibu yao. Na huyo mkuu Seki6 nafikir yeye ndo kakufanya ukatambua ulipoteleza, so big up sana jomba. Halafu unavyosema DESA mimi cjamwomba m2 anipedesa, mimi nikuwa nataka mwongozo (area of concetration) coz m2 unaweza ukasoma vile vi2 ambavyo ulivisoma miaka mitatu ukaingia kwenye usail ukaambulia patupu.
 
kwa mwongozo zaidi nenda kwenye website ya chuo cha serikali za mitaa kina mwongozo na utendaji mzima ya hao watumishi
 
Wadau katika muundo wa utumishi wa umma bodi ya ajira ya halmashauri inaweza kusaili na kuajiri watendaji wa kata kwa kibali cha utumishi?
 
ndio inaajiri baada ya kupewa kibali......................... mfano hizi ajira za sasa hivi.. halmashauri zimepata vibari
 
Eleza bomu jipya la korea kaskazini lina uwezo wa kusafiri maili ngapi
 
Back
Top Bottom