Waliofanya hivi wanachochea bifu?

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
529
Reaction score
909


Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ikimuonesha tembo mwenye maneno KING KIBA akirukiwa na simba wenye majina ya washindani wa Alikiba. Hii inamaana Kiba ni kama tembo asiyewezwa na simba.
 
Kumbe

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Hamwezi kwa lolote ingawa wamekuja wengi lakini tembo bado yuko fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…