Walioenda kwenye Interview NHIF

Walioenda kwenye Interview NHIF

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Jaman tupeni maswali yaliyotoka leo kwenye interview, najua maswali hayawezi kuwa sawa ila mtatupa mwanga wa kitachojiri kwenye interview nyingine.

Asanteni
 
wameuliza maswali deep balaa kama huijui Nhif kiundani watakutoa so yalikuwa sita tu
 
wameuliza maswali deep balaa kama huijui Nhif kiundani,ni shiiida yalikuwa sita tu
 
daaah hatari.,mda wa pepa ni masaa mangap?@safety last
 
afu pia wana utaratibu mzuri wa watu walioenda maana wengine tunatoka mkoani
 
İnterview yenyewe majanga matupu,maswali yenyewe yakuandwika mikono!
 
Na mimi leo nimetia timu chumba no 85 kimejaa na tumehamishiwa no.86 lakini nako full na naona baadhi ya watu hawajaingia nadhani tukitoka na wao wataingia,duh! Membership officer nafasi 6 tunaocompete watu kama 2000 hivi
 
Wakija humu wakikuta manaelezea siri za interview humu nakuhakikishia wata re-advertise the posts!!! Interview ni siri!!! Tena ni bora mtu mfanye PM kuliko kuweka hadharani kiasi hiki.That is kama ukijua mtu alienda kama ninavyoona hapa basi mengine fanyeni PM not at the arena!!!
 
1. Briefly explain your personal and education background? Maswali mengine 5 yanapatikana kwenye website ya NHIF. Natumaini nimekupa CLUE ya kutosha!
 
Acha uvivu wa kusoma alafu ukikosa una lalamika kua jamaa hawapo fair kumbe hukujiandaa ila una muda wa kuingia jf utasubiri sana nyambafuuu sipendi watu wavivu kujiandaaa
 
Insurance n nhif unaelewa nn khs hzo? Diff.btn private hif and social hif.afu diff.btn nhif n community health service.. salient features za nhif...duties n respo...za post ako..benefit package za nhif members n challenges... yanatosha bana
 
Back
Top Bottom