Waliochaguliwa vyuo vya ualimu vya serikali 2016/2017

Waliochaguliwa vyuo vya ualimu vya serikali 2016/2017

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
951
Reaction score
412
MATOKEO YA
WALIOCHAGULIWA
KUJIUNGA NA VYUO VYA
UALIMU VYA SERIKALI
KWA MWAKA WA
MASOMO 2016/2017
Date Posted: 14th September
2016 16:42:58 Posted By:
NACTE
Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE) linapenda
kuwaarifu waombaji wote
wa kozi za Ualimu kupitia
Mfumo wa Pamoja wa
Udahili (CAS) na Umma
kwa ujumla kuwa matokeo
ya waliochaguliwa kujiunga
na vyuo vya Ualimu vya
Serikali yamekamilika.
Aidha, Majina ya waombaji
waliochaguliwa kwa kila
kozi itolewayo na chuo
husika yameshakabidhiwa
vyuoni na yanaweza
patikana pia kupitia kurasa
(Profile) zao binafsi pia
kupitia mfumo wa Matokeo
kwa kubonyeza hapa.
Kwa wale ambao
hawakuchaguliwa
wanaweza pata sababu za
kutochaguliwa kwao kupitia
kurasa zao binafsi (profile)
kama vile:
1. Sifa za muombaji kuwa
pungufu kulinganisha na
sifa za chini za kozi
husika;
2. Nafasi za mafunzo
katika chuo na kozi
husika kujaa kutokana
na ushindani wa
waombaji wenye sifa za
juu zaidi; na
3. Kutoambatanisha vyeti
vya matokeo ya
masomo kwa baadhi ya
waombaji.
Waombaji ambao
hawakuchaguliwa
wanashauriwa kusoma kwa
makini sababu hizo na
kufuata ushauri unaotolewa
ili kuweza kuchaguliwa
katika uteuzi unaofuata bila
gharama ya ziada.
Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 14 Septemba, 2016
 
weka namba group la watspp fasta, kwa update za joining instruction na mazingira ya vyuo pia.
 
MATOKEO YA
WALIOCHAGULIWA
KUJIUNGA NA VYUO VYA
UALIMU VYA SERIKALI
KWA MWAKA WA
MASOMO 2016/2017
Date Posted: 14th September
2016 16:42:58 Posted By:
NACTE
Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE) linapenda
kuwaarifu waombaji wote
wa kozi za Ualimu kupitia
Mfumo wa Pamoja wa
Udahili (CAS) na Umma
kwa ujumla kuwa matokeo
ya waliochaguliwa kujiunga
na vyuo vya Ualimu vya
Serikali yamekamilika.
Aidha, Majina ya waombaji
waliochaguliwa kwa kila
kozi itolewayo na chuo
husika yameshakabidhiwa
vyuoni na yanaweza
patikana pia kupitia kurasa
(Profile) zao binafsi pia
kupitia mfumo wa Matokeo
kwa kubonyeza hapa.
Kwa wale ambao
hawakuchaguliwa
wanaweza pata sababu za
kutochaguliwa kwao kupitia
kurasa zao binafsi (profile)
kama vile:
1. Sifa za muombaji kuwa
pungufu kulinganisha na
sifa za chini za kozi
husika;
2. Nafasi za mafunzo
katika chuo na kozi
husika kujaa kutokana
na ushindani wa
waombaji wenye sifa za
juu zaidi; na
3. Kutoambatanisha vyeti
vya matokeo ya
masomo kwa baadhi ya
waombaji.
Waombaji ambao
hawakuchaguliwa
wanashauriwa kusoma kwa
makini sababu hizo na
kufuata ushauri unaotolewa
ili kuweza kuchaguliwa
katika uteuzi unaofuata bila
gharama ya ziada.
Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 14 Septemba, 2016
Sasa mbona profile hazioneshi chuo tatizo ni nini?
1474465484034.png
 
Back
Top Bottom