Nshapata mwenzangu boraCivil kk vp join tyar?
tuwekee hapa mkuu tuonejoin tayati ila ni kwa wale wa goverment sponsership kama hujaipata nenda kwenye website yao
Una uhakika wameshatoa joining instructions?join tayati ila ni kwa wale wa goverment sponsership kama hujaipata nenda kwenye website yao
Huyu Jamaa analeta uongo humu, joining hazijatoka juzi tu nilikuwa ditUna uhakika wameshatoa joining instructions?
Website yao haina hizo instructions kama wewe umeshapewa tafadhali scan tupia humu wenzio wazione.
Joining wametoa kwa wale ambao wapo chin ya government sponsership basi... Kwenye web ipoUna uhakika wameshatoa joining instructions?
Website yao haina hizo instructions kama wewe umeshapewa tafadhali scan tupia humu wenzio wazione.
Umepata vp..nityumie na mmNshapata mwenzangu bora
fungua dit.ac.tz utaikutaUmepata vp..nityumie na mm
Thanks, unaweza kufafanua kidogo jinsi ya kui access maana kupitia homepage yao ipo page ya joining instructions lakini haina details zozote.Joining wametoa kwa wale ambao wapo chin ya government sponsership basi... Kwenye web ipo
Nimeziona, pole kwa maswali mengi.Joining wametoa kwa wale ambao wapo chin ya government sponsership basi... Kwenye web ipo
Your welcome...Nimeziona, pole kwa maswali mengi.
Angalia hapa =====> 'http://goo.gl/GTNCGMThanks, unaweza kufafanua kidogo jinsi ya kui access maana kupitia homepage yao ipo page ya joining instructions lakini haina details zozote.