K Kiraucha Member Joined Aug 23, 2012 Posts 26 Reaction score 2 Aug 22, 2013 #1 Wadau naomba kuuliza walioapply kazi zilizotanganzwa ardhi plan ltd mwezi wa 6 wameshaitwa kwenye interview?? Mwenyekujua plz aniambie
Wadau naomba kuuliza walioapply kazi zilizotanganzwa ardhi plan ltd mwezi wa 6 wameshaitwa kwenye interview?? Mwenyekujua plz aniambie
kb52 JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 336 Reaction score 110 Aug 22, 2013 #2 Nadhani watakua hawajaita koz mimi bado hawajanipigia cm.
Niwemugizi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 902 Reaction score 462 Aug 22, 2013 #3 Mimi mambo ya taasisi za binafsi yakikaa kwa muda mrefu huwa siyaamini huenda walishachakachua though we need to be positive until the last drop
Mimi mambo ya taasisi za binafsi yakikaa kwa muda mrefu huwa siyaamini huenda walishachakachua though we need to be positive until the last drop