peter babagody
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 103
- 44
Nilisahau umenikumbushaYaani wewe ulichoona nikwamba wanakosa muda wa 'ku kwich kwich' wala huulizi wanapata wapi muda wa kuongea na watoto wao, jamii inayowazunguka mfano kuhudhuria shughuli za kijamii kama mazishi! wewe unachowaza ni KATIKATI YA MIGUU, CHINI YA KITOVU BASI!
Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe!Yaani wewe ulichoona nikwamba wanakosa muda wa 'ku kwich kwich' wala huulizi wanapata wapi muda wa kuongea na watoto wao, jamii inayowazunguka mfano kuhudhuria shughuli za kijamii kama mazishi! wewe unachowaza ni KATIKATI YA MIGUU, CHINI YA KITOVU BASI!
Ushaidi?Wale wamehasiwa hiyo kitu hawafanyagi.
Sasa mbona hujauliza huyo wanayesimama nyuma yake anapata muda huo saa ngapi bila kusimamiwa?Japo ni kwa ufupi lakini naomba wajuzi wa maswala haya wanisaidie juu ya hawa jamaa wanaosimama nyuma ya watawala wetu. Napata shida nikifikiri muda wanaotumia na kwamba kila muda Rais alipo na wao wapo wanapata vipi muda wa 'ku kwich kwich'. Ina maana hawana familia.
Naomba kuwasilisha
Kukaa na rais muda wote kama kivuli.Ushaidi?
Haaaaaahsaaaaaaaaaa haaaa nachekaaaa tuSasa mbona hujauliza huyo wanayesimama nyuma yake anapata muda huo saa ngapi bila kusimamiwa?
Jamaa kaangalia upande mmoja tu. Tena nafuu ya wale wanaweza kuwa wanabadilishana kuliko mshusika mwenyewe kila anakoenda ni ving'ora na msululu mirefu ya magari na watu sasa kama anataka kuchepuka kidogo atachepukaje na mikamera kibao na mimacho yote ile?! Hata useme kama mhusika mwenyewe ni mwanaume anataka kutongoza au mwanamke kutongozwa itakuwaje na ni saa ngapi?Haaaaaahsaaaaaaaaaa haaaa nachekaaaa tu
Umesahau azimio la Arusha kuhusu miiko ya uongozi Mwl Nyerere alisema "hatuwezi kutawaliwa na kiongozi muhuni huni tu"Jamaa kaangalia upande mmoja tu. Tena nafuu ya wale wanaweza kuwa wanabadilishana kuliko mshusika mwenyewe kila anakoenda ni ving'ora na msululu mirefu ya magari na watu sasa kama anataka kuchepuka kidogo atachepukaje na mikamera kibao na mimacho yote ile?! Hata useme kama mhusika mwenyewe ni mwanaume anataka kutongoza au mwanamke kutongozwa itakuwaje na ni saa ngapi?
ahahahahaKukaa na rais muda wote kama kivuli.