Walinzi wa jkt

Wanafunzi kaka haswa wa Primary naunga mkono hoja kwa asilimia 100% kipindi cha nyuma nkiwa kwenye daladala Ilikuwa hata kama kuna wanafunzi kumi Basi wote ntalipa izo 200 zao yani ilikuwa siwezi kumuona denti anatoa mia mbili Ivi nakumpa konda
 
Wajinga hao mimi nangoja siku wajichanganye kwangu, Ntapigana nao kavu kavu, Askari gani unakosa weledi wa kuongea na Rais kisa una gwanda ndio unataka uogopwe huu ni UJUHA siku mimi akinidindia ntaweka Beg chini na Kumfumdisha adabu
 
Achana na kitu kinaitwa 'STRESS', stress za kipigika miaka miwili alafu utoke Ziii!!! ndio unaishia kuwa 'Mwehu!'
 
Mi ninge kuwa konda ningechakaza wote.. Mbaka hao police +wanajeshi.
 
kama hawakua na nauli wangeomba msaada kwa konda awasidie wanakoenda kabla hata hawajaingia ndani ya gari..........yani kama hao ilibidi kwanza wapokee kichapo kizito cha wananchi then wapelekwe polisi.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Kujichukulia sheria mkononi si jambo zuri hata kidogo, na ni kinyume na sheria ya haki za binaadamu...!
 
askari wa jkt ni service man hao ni walinzi kama walivyo kk security ambao wanapata kuwa walinzi baada ya kumaliza mkataba na jkt hao ni jeshi la akiba kama mgambo tu
 
hao sio askari no jeshi la akiba kama walivyo mgambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…