M msagama New Member Joined Mar 2, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Mar 3, 2019 #1 Walinzi wameajiliwa Katika tabaka mbili kwenye Kampuni na kwa mtu mmoja mmoja pamoja na kazi nzito ya kulinda watu na Mali zao Jamii bado Inawaona kama sio muhimu kwao Sent using Jamii Forums mobile app
Walinzi wameajiliwa Katika tabaka mbili kwenye Kampuni na kwa mtu mmoja mmoja pamoja na kazi nzito ya kulinda watu na Mali zao Jamii bado Inawaona kama sio muhimu kwao Sent using Jamii Forums mobile app
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,581 Reaction score 7,232 Mar 21, 2019 #2 Wako na t.b.s.? Au wa kubumba..wana rank? Sent using Jamii Forums mobile app
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Mar 21, 2019 #3 Ulitaka kumanisha nini dadavua uzi utadoda huu. Sent using Jamii Forums mobile app
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,133 Mar 21, 2019 #4 Hao kwenye picha nikivamiwa si watakimbia kama wamefungwa mota? Watakuwa wananilinda mimi au mimi ndio nawalinda?
Hao kwenye picha nikivamiwa si watakimbia kama wamefungwa mota? Watakuwa wananilinda mimi au mimi ndio nawalinda?