Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Hizo tabia ni za watumishi woteKuna wakati mtu analazimika kusema hivyo, binafsi nimewahi kuwa mwl..kada hiyo inaongoza kwa unafiki wa wao kwa wao, kusengenyana, wivu, kuchongeana kwa viongozi, kujipendekeza na vitabia vingi vya aina hiyo...
Vyama vitaanza minyukano huku mwajiri akiregulate uzito wa ndondiNaona ukombozi kwa walimu, watachangia 5000 tu badala ya 2% waliyokuwa kule kwa awali, watachagua Viongozi ngazi zote badala ya kuwa wenye hati miliki ya Chama.
Soma katiba yao.
Hakuna kada iliyo nyooka,hata ukienda jeshini vilio vya watu kuchongeana ni vingi sana,ni hulka za watu walio kwenye kada mbali mbali.
Hakuna kada iliyo nyooka,hata ukienda jeshini vilio vya watu kuchongeana ni vingi sana,ni hulka za watu walio kwenye kada mbali mbali.
Hakuna kitu kama hcho.Mei mosi kilipigwa mkwara
Haitachukua muda nacho kitakuwa tawi la CCM.Naona ukombozi kwa walimu, watachangia 5000 tu badala ya 2% waliyokuwa kule kwa awali, watachagua Viongozi ngazi zote badala ya kuwa wenye hati miliki ya Chama.
Soma katiba yao.
Morogoro hatukuona maandamano yao mkuuHakuna kitu kama hcho.
Jina tu linamkimbiza mtu. Graphics za katiba ziko hovyo, hapo tu panamkatisha tamaa mwanachama mtarajiwa.Naona ukombozi kwa walimu, watachangia 5000 tu badala ya 2% waliyokuwa kule kwa awali, watachagua Viongozi ngazi zote badala ya kuwa wenye hati miliki ya Chama.
Soma katiba yao.