Nawaitaji walimu wa kufundisha masomo ya Uraia (civics), History na Kiswahili Sekondari na shule ya msingi.
Kituo cha kazi ni Mkoa wa Kagera manispaa ya Bukoba. Wahombaji wawe na stashahada au shahada ya ualim.
Shule inatoa chakula ukiwa kazini ,usafiri wa kutoka kazini na kuja kazini pamoja na makazi.
Walio tayari kufanya kazi nashule hii nzuri mnakaribishwa saana. Kwa mawasiliano zaidi piga 0788974003 au nitumie pm na mawasiliano yako.
KARIBU SANA TUKAELIMISHE TAIFA.