Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 43
- 24
Utajuaje kama wote watakao respond then wote watakuwa science teachersHabar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili tunatatuaje changamoto hizi kuliko kukaa kimya na kunung' unika kimoyomoyo,pia kwenye hilo group tutapeana updates na resources mbalimbali ili kujiweka more competence in our teaching professional,km vp nicheck Whatsapp 0767874060 ili niwaadd kwenye group
Unaposema vipindi ni vingi unamaanisha nini? Ikiwa mwajili anatakaTeaching load iwe ni vipindi 30 kwa wiki@mwalimu je wewe vinazidi hivyo 30?Habar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili tunatatuaje changamoto hizi kuliko kukaa kimya na kunung' unika kimoyomoyo,pia kwenye hilo group tutapeana updates na resources mbalimbali ili kujiweka more competence in our teaching professional,km vp nicheck Whatsapp 0767874060 ili niwaadd kwenye group
Jaribu kumuuliza mwl wako wa Taaluma kwamba anavo andaa ratiba ya shule idadi ya vipindi kwa kila somo hua anarejea wapi? Au anatoa kichwani mwake? Kama sio mkoloni atakuza mengi!Vipind kisheria sio zaid ya 24,sass wewe unaesema ni 30periods umezitoa WAP
hahaha kwel mkuuWekeni vyeti vyenu vya taaluma ili tuone kama mnastahil au mbwembwe na majigambo tu
Sijaelewa hoja ya kwenda whatsapp mku hebu ifafanue.Jaman tafadhaln jitokezen,mnitafute Whatsapp no 0767874060