Walimu tukutane hapa

sisi siyo wahuni wenzio bwana,maslahi gani wanadai kupitia mitandao ya kijamii? Walimu siyo genge la wahuni,ohoooo.....! acha kudhalilisha taaluma za watu,wewe matatizo ya huto tuhela twako twa likizo unatodai unataka tukutane mtandaoni siyo? hayo ndiyo maadili ya ualimu uliyosoma huko chuoni kwako? koma kabisa
 
Wewe ndo huna tabia ya ualimu ni kulalamika tu, ata mshahara huo unakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…