swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Sasa tunashuhudia elimu bure nchini na kila mtoto aliyefaulu kwenda shule anatakiwa aende.Sawa sote tunakubaliana.
Tunashuhudia wakuu wa wilaya kana Urambo wakiwavua ukuu wa shule wakuu kumi kwa kufelisha wanafunzi kidato cha nne bila kujali mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.
Lakini ukiangalia toka rais aingie madarakani madlahi ya waalimu ni yaleyale darasa watoto 120 na zaidi,mishahara midogo lakn mwl anasahhsha daftari mpaka usiku nyumbani kwake,maslahi kiduchu.
Waalimu wakuu wanawanyanyasa waslimu madhuleni ili wakidhi matakwa ya waliowapa nyadhifa hizo.
Waalimu wasipojusimamia nyota ya punda ni kulala umechoka kila siku bila malipo.saaana utaambulia nyasi.