A abam Member Joined Nov 10, 2011 Posts 65 Reaction score 13 Dec 2, 2011 #1 nyumba mbovu nyinyi, mishahara midogo nyinyi, malimbikizi nyinyi, hivi nyinyi walimu mnajitambua kweli au kazi yenu kuwafanya wengine wajitambue. amkeni walimu kila mtu atabeba mzigo
nyumba mbovu nyinyi, mishahara midogo nyinyi, malimbikizi nyinyi, hivi nyinyi walimu mnajitambua kweli au kazi yenu kuwafanya wengine wajitambue. amkeni walimu kila mtu atabeba mzigo
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 2, 2011 #2 kaipeleke kwa mukoba..:lol:
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Dec 2, 2011 #3 Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k. Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao.
Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k. Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao.
M MyTz JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 332 Reaction score 62 Dec 2, 2011 #4 ndetichia said: kaipeleke kwa mukoba..:lol: Click to expand... huyo jamaa hamna kitu, ni puppet tu
M Mr.creative JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 492 Reaction score 117 Dec 2, 2011 #5 IQ yako ni below 70 kwa hiyo upo kwenye kundi la mental retarded na katika kundi hilo upo kwenye profound mental retardation!
IQ yako ni below 70 kwa hiyo upo kwenye kundi la mental retarded na katika kundi hilo upo kwenye profound mental retardation!
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Dec 2, 2011 #6 Mzee said: Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k. Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao. Click to expand... unajita mzee inawezekana umezeeka mwili tuu akili bado ya mtoto mdogo sana
Mzee said: Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k. Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao. Click to expand... unajita mzee inawezekana umezeeka mwili tuu akili bado ya mtoto mdogo sana
Vmark. JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 1,353 Reaction score 274 Dec 2, 2011 #7 Twende kwetu uchagani nikakuonyeshe jumba cio unaandika uharo 2 hapa we kilaza kuwa walim wanaish kwnye nyumba mbovu!
Twende kwetu uchagani nikakuonyeshe jumba cio unaandika uharo 2 hapa we kilaza kuwa walim wanaish kwnye nyumba mbovu!
S semako Senior Member Joined Nov 10, 2011 Posts 102 Reaction score 6 Dec 5, 2011 #8 Walimu wenye akili kama za SEMAKO hawana taaabu ya pesa,we kaa tu shuleni pesa zitakufuata.