naona hapo mwalimu kajibu tayari kaweka tu mistari kuonesha kuwa hicho kitu hakielewi. utafiti nisaidie na wewe hivi kuna hasi sifuri kama alivyofanya mwalimu hapo kwenye karatasi

Hizi ndio hasara za multiple choice. Kati ya maswali 18, I am sure at least 33% yatakuwa sahihi mbali ya mwalimu kuamua hii ni TRUE or FALSE. Mie ningempatia D aendelee mbele.