2021mao Member Joined Aug 19, 2021 Posts 79 Reaction score 75 May 20, 2023 #1 Mambo yamefika hatua hii, hawa ndio watetezi wa walimu.
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,165 Reaction score 5,639 May 20, 2023 #2 Hii CWT haina miaka 5 mbele itakufa Walimu wameanza kustuka
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,195 Reaction score 11,327 May 20, 2023 #3 Walimu ni shamba la bibi ukiwaotea tu unakuwa tajiri ndani ya miezi sita
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 60,351 Reaction score 71,747 May 22, 2023 #4 CC:mpwayungu village
Elimuktar Member Joined Aug 18, 2012 Posts 18 Reaction score 38 May 23, 2023 #5 Mkuu imeandikwa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake, acha sisi viongozi wa CWT tule kulingana na urefu wa kamba yetu
Mkuu imeandikwa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake, acha sisi viongozi wa CWT tule kulingana na urefu wa kamba yetu
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,705 May 23, 2023 #6 Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni HIYARI
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,099 Reaction score 5,887 May 23, 2023 #7 EINSTEIN112 said: Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni HIYARI Click to expand... Ni lazima, wewe hujui kumbe!
EINSTEIN112 said: Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni HIYARI Click to expand... Ni lazima, wewe hujui kumbe!
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,705 May 23, 2023 #8 Nazi Ignition said: Ni lazima, wewe hujui kumbe! Click to expand... Najua na ni hiayari UJINGA ni wewe kushawishiwa siku unaajiriwa mi ni HR najua A-Z
Nazi Ignition said: Ni lazima, wewe hujui kumbe! Click to expand... Najua na ni hiayari UJINGA ni wewe kushawishiwa siku unaajiriwa mi ni HR najua A-Z
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,099 Reaction score 5,887 May 23, 2023 #9 EINSTEIN112 said: Najua na.ni hiayari UJINGA ni wewe kusawishiwa siku unaajiriwa mi ni HR najua A-Z Click to expand... Mi nachojua kujiunga na vyama vyawafanya kazi ni hiyari ila ni lazima uwe na chama chochote Cha wafayakazi.
EINSTEIN112 said: Najua na.ni hiayari UJINGA ni wewe kusawishiwa siku unaajiriwa mi ni HR najua A-Z Click to expand... Mi nachojua kujiunga na vyama vyawafanya kazi ni hiyari ila ni lazima uwe na chama chochote Cha wafayakazi.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,705 May 23, 2023 #10 Nazi Ignition said: Mi nachojua kujiunga na vyama vyawafanya kazi ni hiyari ila ni lazima uwe na chama chochote Cha wafayakazi. Click to expand... Jamaa hujui kumbe siku hizi sio lazimq
Nazi Ignition said: Mi nachojua kujiunga na vyama vyawafanya kazi ni hiyari ila ni lazima uwe na chama chochote Cha wafayakazi. Click to expand... Jamaa hujui kumbe siku hizi sio lazimq