Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Tumaini la walimu kukuelewa ni ndogo sana, hawa watu jamani sijui walinyweshwa nini duuuuh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ndugu Mpwayungu, kwa kuweka kando udhaifu wako katika maeneo mengine, hakika umezungumza ukweli halisi.
Kwenye kudai haki, walimu wanatakiwa kuweka kando tofauti zao na kusimama pamoja.
Nakomaa nao labda waniuweNaona mwanangu leo umewawekea na ushahidi juu,waje wabishe sasa
Ova
Kwa mimi sitaki mwalimu aje kwangu, ni nyumba yangu usinifosiMsijaribu kufanya hicho kitu, chonde! Chonde! Mkimwaga mboga sisi tunamwaga ugali, isiwe taabu tusilaumiane
Hawaelewi hata ufanyajeHongera kwako kwa kuamua kuwatetea..
Kikubwa ni kusema potelea pote, ni walimu wenyewe kurisk kazi zao Kwa kufanya vuguvugu Zito la maandamano, kugoma kufundisha kabisa mpaka maslahi Yao yatakaposikilizwaAdui mkubwa wa Mwalimu ni Mwalimu mwenyewe
Makatibu wa Elimu walikua walimu
Wakurugenzi wa Idara za Elimu walikua walimu
Viongozi kadhaa wa ngazi za juu walikua walimu
Sasa tunafanyaje?
Sasa huko unakoelekea siko kugoma kufanya kazi na kuanzisha maandamano ... Wataumizwa balaa nwasijaribu hata sekunde MojaKikubwa ni kusema potelea pote, ni walimu wenyewe kurisk kazi zao Kwa kufanya vuguvugu Zito la maandamano, kugoma kufundisha kabisa mpaka maslahi Yao yatakaposikilizwa
Unaelewa neno "POTELEAPOTE"Sasa huko unakoelekea siko kugoma kufanya kazi na kuanzisha maandamano ... Wataumizwa balaa nwasijaribu hata sekunde Moja
Acha utani basi, siku wakikugongea mlango saa Sita usiku ukiwa six by six na mke wako ili wakuombe Unga tu wauji watoto wanywe utakuja kufuta hii postMkuu mpwayungu village kwenye uzi wako wa kwenda lindi, ulionyesha wewe ni mwalimu na ulitafuta ajira!!
Nashangaa unavyokuja kuwaponda ndugu zako katika taaluma[emoji848][emoji848], au ni baada ya kukosa ajira ??
Bro Analyse kijana kaanza
Kwani Mpwayungu naye alisotea kupata ualimu akakosa? au ndo maana anatoa sana povu kwa walimu...Mkuu mpwayungu village kwenye uzi wako wa kwenda lindi, ulionyesha wewe ni mwalimu na ulitafuta ajira!!
Nashangaa unavyokuja kuwaponda ndugu zako katika taaluma🤔🤔, au ni baada ya kukosa ajira ??
Bro Analyse kijana kaanza
Nitaonyesha ubinadamu kwani Mimi pia hua nina uhitaji, so try to have some respect towards peopleAcha utani basi, siku wakikugongea mlango saa Sita usiku ukiwa six by six na mke wako ili wakuombe Unga tu wauji watoto wanywe utakuja kufuta hii post
Alisotea na alikosa, Sasa anajipa matumaini hewaaaKwani Mpwayungu naye alisotea kupata ualimu akakosa? au ndo maana anatoa sana povu kwa walimu...