USTAADHI JF-Expert Member May 10, 2011 1,516 136 Feb 3, 2012 #1 sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4.
K Kiumbe duni Senior Member Dec 3, 2011 100 8 Feb 3, 2012 #2 igwa said: sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4. Click to expand... Shauri yenu kaeni na uzembe wenu, sasa sisi tuwasaidiaje! Fuateni nyayo za madaktari, gomeni.
igwa said: sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4. Click to expand... Shauri yenu kaeni na uzembe wenu, sasa sisi tuwasaidiaje! Fuateni nyayo za madaktari, gomeni.
Idimulwa JF-Expert Member May 27, 2011 4,503 1,722 Feb 4, 2012 #3 igwa said: sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4. Click to expand... Poleni,ila serikali imefilisika na akiba iliyopo nikwa ajili ya posho za wabunge tu,so tafakarini then mchukue hatua
igwa said: sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4. Click to expand... Poleni,ila serikali imefilisika na akiba iliyopo nikwa ajili ya posho za wabunge tu,so tafakarini then mchukue hatua
B Brahnman JF-Expert Member Feb 3, 2012 1,712 1,050 Feb 4, 2012 #4 Polen sana ndugu zangu wa Magu tatizo nin hasa,nenden mkamkabe koo Ngundungi awape hata za hapo halmashauri.
Polen sana ndugu zangu wa Magu tatizo nin hasa,nenden mkamkabe koo Ngundungi awape hata za hapo halmashauri.