Walimu hawatambuliki serikalini

Haa haa walimu wengi ni walamba miguu ya viongozi hasa ccm. Wacha waburuzwe tu.
 
Wanaofundisha vyuo vikuu siyo walimu kama ambavyo wengi mnadhani. Hawa wanaitwa wahadhiri. Ndio maana hakuna vyuo kwa ajili ya kusomea ualimu wa chuo kikuu

nipe tofauti kati ya mwalimu na mhadhiri!
 

we ni pwaguzi! Vp kuhusu madaktari? Kwao wao hawawezi kuathiri kazi zao tena ambazo ni very sensitive ktk kuokoa maisha ya binadamu!!
 

Naona hata hiyo elimu yako ya STD 7 haijakusaidia maana unapost utumbo go back to school QT is waiting for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…