WALIMU 13,600 WAPATA AJIRA

Joined
Apr 1, 2019
Posts
96
Reaction score
135
Hiyo habari ndiyo iliyopewa uzito kwenye hili gazeti la JIJI.

Je walimu mmekumbukwa?? Au ni mwendelezo wa propaganda uchwara zinazoenezwa na magazeti haya uchwara yasiyo kuwa na wahariri wabobezi katika tathinia hii ya habari
 
Hizo ajira ziko wapi???....
Leta picha ya hilo gazeti....

Alafu kwani ajira zimetolewa?? Mbona hatuoni hao walio ajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…