Hicho ndicho kitu nnachoshangaa mpaka saivi!Ina maana mtwara hawafai mpaka gesi iende dar(ila nia kuu ni bagamoyo)?Gesi itanufaisha watanzania wote said jk, kwa hiyo anataka ijenDar kwani Mtwara sio Tanzania?
Hivi jina la machinga limetokana kabila moja wapo la ntwara eee! ?