M massai JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 653 Reaction score 137 Aug 22, 2011 #1 Waungwana naombeni kujuzwa vipi baada ya wale jamaa kukutwa live na MADAWA ya KULEVYA namaburungutu ya hela vipi hole shamans waliyowekewa wall hapa nchini au ndio wameshasepa????
Waungwana naombeni kujuzwa vipi baada ya wale jamaa kukutwa live na MADAWA ya KULEVYA namaburungutu ya hela vipi hole shamans waliyowekewa wall hapa nchini au ndio wameshasepa????
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Aug 22, 2011 #2 Mkuu ni nini hii na inatafuta nini hapa na kwa nini haeleweki?
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Aug 22, 2011 #3 Lini na akina nani?Eleweka
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 129 Aug 22, 2011 #4 Ndugu fafanua
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,332 Reaction score 1,618 Aug 22, 2011 #5 Ongezea nyama kwenye thread yako mkuu....