Akili za manara hzo ambazo anaamini mafanikio ya yanga msimu uliopita ana mchango mkubwa na kufanya vibaya kwa simba na taifa stars ni kwasababu yeye kaacha kuzi support sasa kwa akili kama hzo unadhani yule mtu anayependa sifa si anajiona yeye ni big deal.