Walewenye shida na mtu wa kumtuma kwenye manunuzii mbali mbalii

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza vizuri Mimi nikijana wa kiume umri miaka 21 ni mwanafunzi wa chuo. Natumia muda wangu kutekeleza majukumu kwa watu mbali mba ambao wanakuwa wanabanwa na majukumu yao ya kila siku hususani ni siku za weekend

Kama
Kusaidia manunuzi ya bidhaa mbalimbalii sokonii na popote pale

Kufanya usafii wa nyumba na kazi zote za nyumbani

Kufundisha na kusaidia watoto home work kwa masomo Kama hisabati, kingireza , sayansii na mengine

Kusimamia nyumba hususa ni ujenzii ,

Kuosha garii lakoo na usafi wa mazingira kiujumla

Kwa mahitsji haha nah menginee yanayofanana na haya usisite kunitafuta

Uaminifu ndo kila kitu kwangu

Mawasiliano0764240743 karibuni tufanye kazi pamoja asantee
 
Good luck! Good plan ingawa jf y sasa wasioajiriw ni wengi... Watapita tu
 
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza vizuri Mimi nikijana wa kiume umri miaka 21 ni mwanafunzi wa chuo. Natumia muda wangu kutekeleza majukumu kwa watu mbali mba ambao wanakuwa wanabanwa na majukumu yao ya kila siku hususani ni siku za weekend

Kama
Kusaidia manunuzi ya bidhaa mbalimbalii sokonii na popote pale

Kufanya usafii wa nyumba na kazi zote za nyumbani

Kufundisha na kusaidia watoto home work kwa masomo Kama hisabati, kingireza , sayansii na mengine

Kusimamia nyumba hususa ni ujenzii ,

Kuosha garii lakoo na usafi wa mazingira kiujumla

Kwa mahitsji haha nah menginee yanayofanana na haya usisite kunitafuta

Uaminifu ndo kila kitu kwangu

Mawasiliano0764240743 karibuni tufanye kazi pamoja asantee
Vizuri Sana, umekuwa very creative. Wengi hatupendi kwenda sehemu kadha wa kadhaa, ila tuna uhitaji nako.

Jiandae kuombwa ukamchukulie Mshana Jr majini yake Kilwa uyapeleke Kilindi Tanga, dili Lina kisu kirefu.

Utalipwa laki tatu kwa kilometer
 
Maliza chuo kwanza, au chagua kimoja kuendelea kutumwa bila kumaliza chuo na kumalizia chuo ndio uanze kutumwa huko unapopataka
 
Back
Top Bottom