Wale za watu mjiheshimu jamani

Umeona dogo mwenye miaka 29 aliyeuliwa Jana mwanza kisa mke wa mtu Me mwenyew nikikukuta na mke wangu Yeye sita mgusa lakini niliyem fumania namgeuzia chini
 
Mkuu tujadili mambo yamaan,na si mambo Kam hayo amboyo kijamii t hayako katika mtazamo chanya
 
Huna mda mrefu nawe utatembea na wanaume watatu kutoka hapohapo magomeni tofauti ni kwamba wao hatujajua kama wamejenga na wana gari ila uhakika ni kwamba watakuoa hiyo siku.
Noted
 
Uko kwenye mid 30's,wewe sio tajiri ila una Maisha tu ya Kawaida.
Unamiliki wake za watu watatu,na umefanikiwa kujenga Magomeni!
Ahsante!
 
Hahaha aseee
 
Nyie madogo shule mnafungua lini? Maana mnakaa tu ku fantasize mambo ya kijinga. Tafuta hata kibarua ufanye. Maana hayo unayowaza waume za wake wa watu watakusiliba mafuta wakuchape nao. Ndo manaa mashoga wengi mpo huko na mnawaza tu huo ujinga. Ulidhani utasifiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…