Ni kweli wakuu hii nimeishuhudia
Ninae jiran yangu kaoa mwanamke mwenye shape tako kaa nick minaj ila kichwan ni empty anamsumbua mshikaji kinoma had mwenyew anajuta kumuo kamzalisha watoto wawili lakin wap, dem hawaz maendeleo wala nn yeye ni kuvaa na mitoko tuu