GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
Mkiambiwa kwamba hakuna Viumbe wenye akili na maarifa hapa Duniani kama Wanawake muwe mnakubali na acheni ubishi / ligi / bundesliga. Kama unadhani kama ukiwa na Mke au Demu wako Nyumbani Kwako hawezi kuwasiliana na ' Mchepuko ' wake katika namna ya ' Kisayansi ' na iliyotukuka kwa taarifa huwa unajidanganya bali wengi wao huwaambia hivi ' Michepuko ' yao tena wakati mwingine na Wewe ukiwa umekaa nae hapo hapo.
" Niko salama tu Mtumishi wa Bwana ni kwamba Malaika ametawala sehemu zote anailinda Nyumba yetu bila shaka Shetani leo hawezi kuingia wala kutoka Amina "
Shikamooni Wanawake wote Tanzania na Ulimweguni!
Nawasilisha.