mkuu ujasema katika facult ipi!? na level ipi?
Manake hapa kuna cert na dip kwa hiyo funguka zaidi..
Hata hivyo tunauthamini mchango wako!
Ila funguka pamoja na source ya kueleweka mkuu!
Ili kudhihirisha we ni great thinker do more research usikurupuke aseeee!
Habari kutoka kwa mdau wangu wa kuaminika ambaye pia ni muajiriwa katika kitengo flani humohumo wizarani ananitanabaisha kwamba majina ya waliochaguliwa kujiunga na kada mbalimbali kupitia wizara ya afya yako mbioni kutoka muda wowote kuanzia sasa kwani zoezi limekuwa gumu sana mwaka huu kulinganisha na miaka iliyopita, kwa kifupi anasema kwa mwaka huu wizara imepokea maombi mengi sana kupita matarajio yao na uwezo wa kuwahudia wanafunzi hao,. Anasema wizara imepokea maombi ya wanafunzi takriban elfu ishirini huku uwezo wa wizara kuwahudumia wanafunzi wote hao ukiwa haupo kwani wao watahudumia wanafunzi elfu mbili tu, sasa wizara inaendelea kupitia maombi hayo huku ikiangalia wenye ufaulu wa juu,. Yaani wenye Ufaulu wa daraja A na B;.. Tuendelee kuvuta subira mpaka hapo watakapoyatoa,.
we ni waziri??
tumwamini nani au ndo wote tupo jela haipaswi yeyote kumuuliza mwenzie eti "anayepita nje ni nani huyo??" au kwa kuwa wote tupo jela harafu mmoja wetu akasikia sauti akaanza kutuambia kuwa anayekuja ni fulani, na wakati hajui lolote na sisi kumwamini ikawa tunafanya makosa, basi tuwaachie wenyewe wizara ukweli ndo wanaujua.
sawa cha muhimu matokeo, na ndo yanayosubiriwa no doubt ahsanteni wote mnaotujuza kwani inaleta faraja sometimes.
matokeo gani kwani wewe umefanya mtihani gani hadi upewe matokeo? Halafu wewe unaonekana hata medical field huifai kwa nini usiende hata kada nyingine bwana.
Kwani majina uliyotumia kutuma maombi ni yapi?