abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 7, 2015 #1 Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.
Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.
Sossy Mwasi Senior Member Joined Jul 19, 2015 Posts 190 Reaction score 23 Oct 7, 2015 #2 abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Mkuu Vp Kuhusu Sisi Wa Second Round Utaratibu Upoje?...Naomb Utujuze
abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Mkuu Vp Kuhusu Sisi Wa Second Round Utaratibu Upoje?...Naomb Utujuze
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 872 Oct 7, 2015 #3 Cjaelewa hata kidogo jinsi ya kufanya transfer
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Oct 7, 2015 #4 Wangekuwa waungwana kama wangeonesha nafasi zilizopo kabla hujalipia,kwa jinsi ilivyo ukishalipa unaweza kukuta unachotaka hakipo na hela umeliwa.
Wangekuwa waungwana kama wangeonesha nafasi zilizopo kabla hujalipia,kwa jinsi ilivyo ukishalipa unaweza kukuta unachotaka hakipo na hela umeliwa.
mapunda b JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 418 Reaction score 19 Oct 7, 2015 #5 abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... mbona sijaona option yoyote ya transfer mkuu.........
abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... mbona sijaona option yoyote ya transfer mkuu.........
abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 7, 2015 Thread starter #6 Sossy Mwasi said: Mkuu Vp Kuhusu Sisi Wa Second Round Utaratibu Upoje?...Naomb Utujuze Click to expand... Nadhani ni kwa wote 1st, 2nd mbona maelezo yapo kwenye accnt zenu za tcu
Sossy Mwasi said: Mkuu Vp Kuhusu Sisi Wa Second Round Utaratibu Upoje?...Naomb Utujuze Click to expand... Nadhani ni kwa wote 1st, 2nd mbona maelezo yapo kwenye accnt zenu za tcu
abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 7, 2015 Thread starter #7 mapunda b said: mbona sijaona option yoyote ya transfer mkuu......... Click to expand... Mbona IPO mkuu, cheki upande wa kushoto wa profile lako
mapunda b said: mbona sijaona option yoyote ya transfer mkuu......... Click to expand... Mbona IPO mkuu, cheki upande wa kushoto wa profile lako
abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 7, 2015 Thread starter #8 wamisako said: Cjaelewa hata kidogo jinsi ya kufanya transfer Click to expand... Usihofu mkuu watatoa maelezo zaidi nadhani, just keep on waiting
wamisako said: Cjaelewa hata kidogo jinsi ya kufanya transfer Click to expand... Usihofu mkuu watatoa maelezo zaidi nadhani, just keep on waiting
Katung'a Member Joined Jul 2, 2015 Posts 40 Reaction score 20 Oct 8, 2015 #9 abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali
abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali
abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 8, 2015 Thread starter #10 Katung'a said: Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali Click to expand... Daah hilo sijajua mkuu, ngoja tusubiri wajuzi
Katung'a said: Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali Click to expand... Daah hilo sijajua mkuu, ngoja tusubiri wajuzi
bin-jabaar Member Joined Jul 12, 2015 Posts 40 Reaction score 1 Oct 8, 2015 #12 jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect??
jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect??
abubaro95 Member Joined Sep 29, 2015 Posts 70 Reaction score 5 Oct 8, 2015 Thread starter #13 bin-jabaar said: jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect?? Click to expand... Mbona wameshaaproval fungua now kwa account yako uone
bin-jabaar said: jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect?? Click to expand... Mbona wameshaaproval fungua now kwa account yako uone
F focus diesel Member Joined Sep 1, 2015 Posts 80 Reaction score 4 Oct 8, 2015 #14 Nauliza hawa second round kuna amvao hawajachaguliwa wafanyeje?
mapunda b JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 418 Reaction score 19 Oct 8, 2015 #15 abubaro95 said: Mbona IPO mkuu, cheki upande wa kushoto wa profile lako Click to expand... mkuu mimi ni wa 2nd round na adi saivi siioni iyo option labda ni kwa wale ambao admission ishakua confirmed na chuo husika au inakuaje apo......... naomba mwenye uelewa atujuze juu ya hili tafadhali..........
abubaro95 said: Mbona IPO mkuu, cheki upande wa kushoto wa profile lako Click to expand... mkuu mimi ni wa 2nd round na adi saivi siioni iyo option labda ni kwa wale ambao admission ishakua confirmed na chuo husika au inakuaje apo......... naomba mwenye uelewa atujuze juu ya hili tafadhali..........
B Brainiac Senior Member Joined Jan 1, 2012 Posts 165 Reaction score 13 Oct 8, 2015 #16 Option ya apply for transfers inaonekana kwa watu wa first round tu...ila msijali wata-update kwa wote.Na transfer window haiwezi funguliwa hadi wa 3rd round nao wapate vyuo.
Option ya apply for transfers inaonekana kwa watu wa first round tu...ila msijali wata-update kwa wote.Na transfer window haiwezi funguliwa hadi wa 3rd round nao wapate vyuo.
S S0345.0129.2006 New Member Joined Oct 11, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Oct 10, 2015 #17 abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Je ukitaka kufanya transfer kama unataka coz ile ile inakuwaje?
abubaro95 said: Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online. Click to expand... Je ukitaka kufanya transfer kama unataka coz ile ile inakuwaje?
S S0345.0129.2006 New Member Joined Oct 11, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Oct 10, 2015 #18 focus diesel said: Nauliza hawa second round kuna amvao hawajachaguliwa wafanyeje? Click to expand... wanatakiwa kuomba tena angalia kwenye mtandao mkuu
focus diesel said: Nauliza hawa second round kuna amvao hawajachaguliwa wafanyeje? Click to expand... wanatakiwa kuomba tena angalia kwenye mtandao mkuu
S S0345.0129.2006 New Member Joined Oct 11, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Oct 10, 2015 #19 S0345.0129.2006 said: Je ukitaka kufanya transfer kama unataka coz ile ile inakuwaje? Click to expand... Na je kama ulichaguliwa chuo ambacho cut-off point zake ni ndogo unaweza kufanya transfer kwa chuo ambacho cut-off point zake ni kubwa?
S0345.0129.2006 said: Je ukitaka kufanya transfer kama unataka coz ile ile inakuwaje? Click to expand... Na je kama ulichaguliwa chuo ambacho cut-off point zake ni ndogo unaweza kufanya transfer kwa chuo ambacho cut-off point zake ni kubwa?
S S0345.0129.2006 New Member Joined Oct 11, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Oct 10, 2015 #20 S0345.0129.2006 said: Na je kama ulichaguliwa chuo ambacho cut-off point zake ni ndogo unaweza kufanya transfer kwa chuo ambacho cut-off point zake ni kubwa? Click to expand... Nilitaka pia kujua kwa transfer inazingatia vigezo gani?
S0345.0129.2006 said: Na je kama ulichaguliwa chuo ambacho cut-off point zake ni ndogo unaweza kufanya transfer kwa chuo ambacho cut-off point zake ni kubwa? Click to expand... Nilitaka pia kujua kwa transfer inazingatia vigezo gani?