Wale wa vyuo hivi tukutane hapa

Wale wa vyuo hivi tukutane hapa

mamba1

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
466
Reaction score
248
Wale tuliochaguliwa higher diploma in education tukutane hapa vyuo
1.KLERUU TTC
2.KOROGWE TTC
3.MONDULI TTC
 
Vp kwenye afya mbona kwenye vigezo hawataji ACSEE yaani form six, au mtu aliyemaliza six hapaswi kusomea diploma ya mambo ya afya?
 
Naomba nifahamishwe tofauti ya higher diploma, ordinary diploma na bachelor degree
 
Applications za ualimu zinafanyikaje kupitia mfumo wa NACTE? Orodha ya vyuo vya ualimu inapatikana kwenye guide book yoyote?
 
vp na kuhusu Mbeya university of science and technology
pale coz ya ordinary diploma in food in science imekahaje na ajila ikoje
 
vp na kuhusu Mbeya university of science and technology
pale coz ya ordinary diploma in food in science imekahaje na ajila ikoje

njaaa tu. kasome clinical au ualimu wa masomo ya science
 
vp na kuhusu Mbeya university of science and technology
pale coz ya ordinary diploma in food in science imekahaje na ajila ikoje
Soma hyo kitu huto regreat,hyo course sio maarufu ila watu wake hawakai mtaani
 
Wakuu Mimi kwa profile yangu wamenambia not eligible ndo inakuaje wakuu!! halafu hakuna option ya kurudia machaguzi
 
Mimi niliomba higher diploma ya edn sikupata daaah roho inaumaaa!,sijui nilijichanganya,?mana niliomba kada mbili ualim na afya,wamenipa oldnary diploma medical laboratory
 
jaman naomba mnisaidie vyuo vya serikal napoweza kuapply koz ya ufamasia (diploma)
 
Back
Top Bottom