Wale wa udsm ukitaka kujua kama uko main campus hama mabibo na kujua kuhusu ada yako ya chuo

Hzo username na password kwa sis wa 1st year tutazitoa wap mkuu?
swali zuri inabidi alifananue au anaamanisha kwa CONTINUE STUNDENT
ARIS NI MFUMO UNATUMIKA KUTUNZA TAKWIMU ZA WANAFUNZI YAANI MATOKEO YA KILA SEMISTA ,ACCOMADATION STATUS .,KUREGISTER KOZI NA VITU VINGI NE VINGI TU
MARA NYINGI DEFAULT USERNAME NI REGISTATION NUMBER YAKO
NA DEFAULT PASSWORD NI SURNAME YAKO ILA HII NI KWA WALIOSAJILIWA TU SIDHANI KAMA MWAKA WA KWANZA WAMESHAINGIZWA KWENYE HUU MFUMO..
UNGEWAPA UFAFANUZI ..
 
had mwaka wa kwanza wameshaingizwa me nmejaribu kulog in imekubal bt ttz hailet detail za hostel ipi umepangiwa.....inasema CLOSED!
 
Username kwa 1st year una2nia Administration number yako iliyokoo kwenye Admision later mfano 2014-0114-114 na password 2mia surname yakoo.. Yaani jina lako la mwisho kama baba . Ukisha login badili password

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
mwanzo zilikua zinafunguka ukiingiza usanem na pasword na mimi nliangalia nkaona wamenpangia mabibo ila baadae ikagoma kufunguka ikawa inaandika CLOSED unapojaribu kulog in
 
mwanzo zilikua zinafunguka ukiingiza usanem na pasword na mimi nliangalia nkaona wamenpangia mabibo ila baadae ikagoma kufunguka ikawa inaandika CLOSED unapojaribu kulog in

swala co kufunguka,swala ni kwamba username na password utazitoa wap?
 
naam umeeleza vyema mkuu kwa kuongezea hiyo password inatakiwa iwe kwenye capital letters...
 
mwanzo zilikua zinafunguka ukiingiza usanem na pasword na mimi nliangalia nkaona wamenpangia mabibo ila baadae ikagoma kufunguka ikawa inaandika CLOSED unapojaribu kulog in

mim kwenye hall/hostel imeandikwa HALL TWO asa apo sijui ni mabibo au main campus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…