Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
tafadhali sana naomba mnielekeze jinsi ya kupata join instruction ya udom pamoja na medical form, natanguliza shukrani
Nenda website ya chuo ambayo ni www.udom.ac.tz udownload form
Safi mkuu watoto sikuhizi wanapenda kutafuniwa
mkuu kama unajua nieleweshe tafadhali, samahani lakini