Sossy Mwasi
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 190
- 23
ndo ya dar hyo mkuu
vp basi weye uelewa juu ya chuo iko cha md kilichopo boko atujuze kidogo...........saha kuhusu hostel ,michango na mambo mengine.....
Nawasilisha wakuu..........
wakuu mm mwenyew cjayajua hayo bdo...nloyopata ni kua chuo chetu lazima tujfunze discpline..kwenda chuo kla cku ni lazma bla kukosa coz wanaita majina na pia plus paper za mara kwa mara
aah duh basi ni hatari kwakweli basi tutaenda jionea ila nina uhakika kwa wale wa 1st round watakua na info flani muhimu za kutujuza.........
wana st jose tupooo!!
Wana st Jose tupooo!!