Wale wa simiyu

mchakamchaka2

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
115
Reaction score
54
Wanajamvi kama kuna anayeishi mkoa wa simiyu tutambuane,nimepata kazi huku ....
 
Tupo....umepata kazi wapi? Benki pale CRDB? Mahakama ya Wilaya? Gerezani?

Au pale hospitali ya wilaya?
 
Asante mdau..nifahamishe mambo gan ya kufanya na kutofanya,mambo gn ya kuyaepuka,tabia za wenyeji,fursa zozote kujiongezea.kipato cha ziada

Cha kwanza, kupenda kutembeza dushelele mwisho Shinyanga town,huku unasetiwa ka-binti then nzengo inakushukia unalipa faini ya fumanizi kama M kadhaa kutegemea na status yako kisha demu anaenda kutega tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…