malagira roman
Member
- Sep 22, 2014
- 58
- 3
Hawa nacte vp mbona kimya?
NACTE ni majanga matupu,,,
Labda tusubiri hiyo tar 16 labda profile zetu zitabadilika
Mkuu inalekea umechoka mbaya hata hamu huna! mbona kusubr had tar 16 mbali kweli tutagongwa na maboda boda ya pipoz humu njiani
Mkuu inalekea umechoka mbaya hata hamu huna! mbona kusubr had tar 16 mbali kweli tutagongwa na maboda boda ya pipoz humu njiani
Ni kujipa majukumu kibaaaooo tuh kazi hii angeachiwa tcu tuh sasa nacte mala tcu yani nchi yangu tanzania ndio raha sana watu wanapeana ulaji tuh
Profile hazibadiliki hata kidogo sasa kama wale wa Tcu Mchakato umeenda fasta sasa kwann nacte wanashindwa kuchakata haraka?? Yaani toka mwezi wa sita wametoa majina ya afya tu
Nacte ni shida
Yaani kila dakika naangalia email kama wameni inform kitu .sioni na hapa kwa profile hakibadilki kitu ..yaani ni shiidah
tufanyeje ss hasa sis ambao profile zetu hazijachange?
nacte nayo ni ccm tu mawazo mgando
angalieni vyuo mliivoomba achaneni na profiles kwanza.mi Nina watu naowafahamu zaidi ya kumi walioomba kupitia nacte saiv wanakamilisha ruhusa vituoni majina angalieni vyuoni
profile zenu zimebadilika?