Na wako njiani wanakujaAiseeh ngoja wahusika waje
TuwasubiriNa wako njiani wanakuja
Ndugu zangu sitasema sana kuhusu mambo haya kwani naogopa wengine wenu watatumia vibaya ujuzi wa mambo yasiyoonekana. Tafadhali usitumie vibaya nguvu za asili kwani madhara ni makubwa na hatimaye hukumu ipo baadaye utakaporudi ulikotoka.
Unaweza kufanya kitu chochote kuwa kibaya ama kizuri ni uamuzi wako na ni rahisi mno!
Laws of attraction, positive mind, auto-suggestion na vingine kama hivyo vina nafasi yake lakini haya ni makasha tu na usipojua the mechanism of operation of these phenomena you won't be able to achieve much! Na hi hatari kufanya mambo haya hasa unapokuwa na lengo baya kwani hukumu yake ni kubwa sana. Ninaweza nikakupa elimu ya namna ya kufanya ili kuwa-manipulate watu au matukio kama upendavyo lakini kwanza lazima nijue your level of maturity, yaani wewe ni mtu gani kwanza na pia you will have to sign on your own responsibility. Kwani kujua kwingi kuna gharama na wajibu wake pia hasa endapo unatumia vibaya ujuzi wako.wewe naona una uelewa kidogo
Laws of attraction, positive mind, auto-suggestion na vingine kama hivyo vina nafasi yake lakini haya ni makasha tu na usipojua the mechanism of operation of these phenomena you won't be able to achieve much! Na hi hatari kufanya mambo haya hasa unapokuwa na lengo baya kwani hukumu yake ni kubwa sana. Ninaweza nikakupa elimu ya namna ya kufanya ili kuwa-manipulate watu au matukio kama upendavyo lakini kwanza lazima nijue your level of maturity, yaani wewe ni mtu gani kwanza na pia you will have to sign on your own responsibility. Kwani kujua kwingi kuna gharama na wajibu wake pia hasa endapo unatumia vibaya ujuzi wako.
Nakushauri usitumie vitu hivi kama hujui vinafanya kazi vipi kwani vile vile vitu hivyo ni "milango" ya kuvamiwa na roho zenye nguvu na hatimaye kupata madhara mengine. Unaweza ukatengeneza jini lakini una uwezo wa kulitawala? hata kama umetengeneza wewe mwenyewe? Kumbuka watu wanatengeneza machine na zinawashinda na kuwauwa, kwa jini ni rahisi zaidi kukudhuru kama hujui jinsi ya kutawala katika ulimwengu wa roho.
Mkuu my degree of maturity is unquestionable, nipe hiyo elimu!Laws of attraction, positive mind, auto-suggestion na vingine kama hivyo vina nafasi yake lakini haya ni makasha tu na usipojua the mechanism of operation of these phenomena you won't be able to achieve much! Na hi hatari kufanya mambo haya hasa unapokuwa na lengo baya kwani hukumu yake ni kubwa sana. Ninaweza nikakupa elimu ya namna ya kufanya ili kuwa-manipulate watu au matukio kama upendavyo lakini kwanza lazima nijue your level of maturity, yaani wewe ni mtu gani kwanza na pia you will have to sign on your own responsibility. Kwani kujua kwingi kuna gharama na wajibu wake pia hasa endapo unatumia vibaya ujuzi wako.
Nakushauri usitumie vitu hivi kama hujui vinafanya kazi vipi kwani vile vile vitu hivyo ni "milango" ya kuvamiwa na roho zenye nguvu na hatimaye kupata madhara mengine. Unaweza ukatengeneza jini lakini una uwezo wa kulitawala? hata kama umetengeneza wewe mwenyewe? Kumbuka watu wanatengeneza machine na zinawashinda na kuwauwa, kwa jini ni rahisi zaidi kukudhuru kama hujui jinsi ya kutawala katika ulimwengu wa roho.
Wish niandike kitu about this.....nahisi nitaandika nusu kwa sasaKuna wanasayansi wameprove asilimia kubwa ya Maji , ukiyasemea vibaya yanabadilika na kuwa kama ulivyosema
( kwa utaratibu wanaoujua lakini kumbuka kama wewe unajua laws of attraction hili utalikubali pasina shaka.
Katika research zao walikuwa wana discuss issue ya utengenezaji wa sumu na Maji yaliyo karibu yakaanza kubalika na kuwa sumu .
Sasa kwa power of realization Mimi nikawaza kama hayo ni kweli , na Mimi kwa imani yangu huwa naamini supernatural power from god IPO , je inakuwaje Mwili wa Mwanadamu ni 75% Maji , akiwa ametega sikio kusikiliza mambo mabaya je hatafanana na ubaya
Like attract like