iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Feb 3, 2014 #1 haya tusuke mikeka hapa City leo uhakika natafta ya kujazia
M Msafwa wa swaya JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 425 Reaction score 105 Feb 3, 2014 #2 iverson95 said: haya tusuke mikeka hapa City leo uhakika natafta ya kujazia Click to expand... Nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook!
iverson95 said: haya tusuke mikeka hapa City leo uhakika natafta ya kujazia Click to expand... Nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook!
iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Feb 3, 2014 Thread starter #3 Msafwa wa swaya said: Nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook! Click to expand... nn hujaelewa
Msafwa wa swaya said: Nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook! Click to expand... nn hujaelewa
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Feb 3, 2014 #4 iverson95 said: haya tusuke mikeka hapa city leo uhakika natafta ya kujazia Click to expand... we mgeni humu? Kuna uzi upo hapo juu umeandikwa' wazee wa kuweka mizigo via vodacom' ndo mambo yote yanafanyka hapo.
iverson95 said: haya tusuke mikeka hapa city leo uhakika natafta ya kujazia Click to expand... we mgeni humu? Kuna uzi upo hapo juu umeandikwa' wazee wa kuweka mizigo via vodacom' ndo mambo yote yanafanyka hapo.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Feb 3, 2014 #5 msafwa wa swaya said: nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook! Click to expand... una hasira na kipgo cha mbeya city au? Wenzako wadat wanaelewa ,ungeuliza kistaarabu tu ungeelekezwa.
msafwa wa swaya said: nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook! Click to expand... una hasira na kipgo cha mbeya city au? Wenzako wadat wanaelewa ,ungeuliza kistaarabu tu ungeelekezwa.
Rockcity native JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 2,176 Reaction score 1,475 Feb 3, 2014 #6 Deo Corleone said: una hasira na kipgo cha mbeya city au? Wenzako wadat wanaelewa ,ungeuliza kistaarabu tu ungeelekezwa. Click to expand... hahahaha deo naona unampa za uso
Deo Corleone said: una hasira na kipgo cha mbeya city au? Wenzako wadat wanaelewa ,ungeuliza kistaarabu tu ungeelekezwa. Click to expand... hahahaha deo naona unampa za uso