Wale wa jani mpo?

tusidanganyane, kijiti hakina madhara kama fegi
 

Japo situmii majani lakini tusidanganyane hapa.Hao ni watu wawili tofauti.Mmoja hapo ana uso mrefu mwembamba na mwingine uso mfupi mpana.Otherwise my eyes got it wrong!
 
uongo mtupu,hiyo ilomfanya hivyo ni tumbaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…