Wale wa ISTANDWITHCAG mpo wapi

blix22

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
213
Reaction score
645


Wale wa ISTANDWITHCAG Mbona mmepotea...kumbe mbao za matangazo hazisomeki hahahahha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa Hii Ripoti Ya CAG Tutarajie Ukimya Usio Wa Nchi Hii... Maana Wakosoaji Wakubwa Wale Maneno Mengi Nao Kwao Kuna Walakini----

Labda Kidogo Nawaona ACT Ndio Muda Wao Huu Wa Kutamba

View attachment 1068154

Wale wa ISTANDWITHCAG Mbona mmepotea...kumbe mbao za matangazo hazisomeki hahahahha


Sent from my iPhone using JamiiForums




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa Hii Ripoti Ya CAG Tutarajie Ukimya Usio Wa Nchi Hii... Maana Wakosoaji Wakubwa Wale Maneno Mengi Nao Kwao Kuna Walakini----

Labda Kidogo Nawaona ACT Ndio Muda Wao Huu Wa Kutamba






Sent from my iPhone using JamiiForums
naona hata inzi wa kijani mmeona umuhimu wa CAG sasa?yote yaliyomo yanatakiw amajibu chadema waseme kuhusu gari na hati yenye mashaka, ccm aseme kuhusu bilioni 4.7 walizochikichia za mafao ya wafanyakazi wao...kila aliyehusika awajibishwe na zile trilioni 2.4 ziletwe majibu yake haraka. CAG ni mtu wa kumlinda sana.
 
Kwa Hii Ripoti Ya CAG Tutarajie Ukimya Usio Wa Nchi Hii... Maana Wakosoaji Wakubwa Wale Maneno Mengi Nao Kwao Kuna Walakini----

Labda Kidogo Nawaona ACT Ndio Muda Wao Huu Wa Kutamba






Sent from my iPhone using JamiiForums
Huwezi lnganisha ya CDM na CCM... Hyuko Zanzibar nyumba 149 za CCM zina majina ya wanachama na siyo bodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…