Madadii na mashostito. Leo tunasherekes birthday ya Heaven on earth pale Chawote Bar. Usiku tunaenda kuumalizia zero Pub maandalizi yote yanaratibiwa na Baba V.
Pale Chawote muwe makini na mizigo yenu kuna dada anaitwa eliza amemhamisha my Brother Asprin Nyumbani. Teamo na Kaizer Naomba muwape wadau direction.
Kumbe ijumaa imeshafika....hio nyama hapo mhhh njaa,hizo chachandu na pilipili ndio zimefanya mdomo umejaa mate ngoja nikazifate zile mbavu za mbuzi dukani....lkn ningefurahi zaidi kama ningepata supu saa hii..
CC farkhina