Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,531
1,733
Binafsi mimi nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo. Sasa siku moja ya Jumamosi wife yeye akiwa ameenda ofisini kwake nikakaita kaje nyumbani, alivyokuja nikamgegedea kwenye chumba cha housegirl, yeye pia hakuwepo.

Mara paap! nasikia geti linagongwa, kuchungulia ni wife. Nilimchukuwa yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti.

Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie housegirl (ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo). Wife alichukuwa document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mimi nikaendelea na mgegedo.

Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa.
 
Hahah nakumbuka walikuja home saa 8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao.

Pumbavu kabisa, sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda, nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
 
Back
Top Bottom