Plz wait ww mbona unapressure ulishaambiwa kuanzia next week kilakitu kitakuwa wazi xo ww umeng'ang'ana na profile tu je ulitaka iweje??? hakuna atakae kosa chuo.
Acheni kuwalalamikia nacte nao ni watu na wanamajukumu mengi xo cha msingi ni kuwa na subira wadau msisumbuke na mabadiliko ya profile yako ukiona mabadlko kwa profile yako ujue nacte wanafanyia kazi.
xo cha msingi ni kujpanga ADA .